Heshima kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kupata mwanga kuhusu nafasi za masomo na udhamini hasa kwenye ngazi ya Phd kwenye vyuo vikuu vya nchini Canada.
Kwa yeyote mwenye taarifa husika ninaomba asisite kuandika kwa faida yangu na ya wengine.
Asanteni.