E ELIFURAHA MAKOMBE Senior Member Joined Dec 22, 2012 Posts 176 Reaction score 22 Apr 24, 2014 #1 Habari za asubuhi ndugu zangu,Naomba mwenye uelewa anisaidie ni web site gani naweza kuwa naitumia kucheki nafasi za kazi kwenye standard chartered bank. NIPO SERIOUS NDUGU ZANGU
Habari za asubuhi ndugu zangu,Naomba mwenye uelewa anisaidie ni web site gani naweza kuwa naitumia kucheki nafasi za kazi kwenye standard chartered bank. NIPO SERIOUS NDUGU ZANGU
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,402 Reaction score 1,618 Apr 24, 2014 #2 Wakina Makombe hawapo kama wewe.... we ni makombe wa wapi? Mafinga? MUfindi? una mfaham raphael, dickson, anthony makombe?
Wakina Makombe hawapo kama wewe.... we ni makombe wa wapi? Mafinga? MUfindi? una mfaham raphael, dickson, anthony makombe?
E ELIFURAHA MAKOMBE Senior Member Joined Dec 22, 2012 Posts 176 Reaction score 22 Apr 24, 2014 Thread starter #3 SUPU YA MAWE said: Wakina Makombe hawapo kama wewe.... we ni makombe wa wapi? Mafinga? MUfindi? una mfaham raphael, dickson, anthony makombe? Click to expand... Bado aujanijibu swali mkuu,be straight to the main subject,mipasho sio solution ya tatzo langu@
SUPU YA MAWE said: Wakina Makombe hawapo kama wewe.... we ni makombe wa wapi? Mafinga? MUfindi? una mfaham raphael, dickson, anthony makombe? Click to expand... Bado aujanijibu swali mkuu,be straight to the main subject,mipasho sio solution ya tatzo langu@
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Apr 24, 2014 #4 Yaani unahitaji kazi za hapo tuu, kwani wao hawana tovuti
E ELIFURAHA MAKOMBE Senior Member Joined Dec 22, 2012 Posts 176 Reaction score 22 Apr 24, 2014 Thread starter #5 abbaczo said: Yaani unahitaji kazi za hapo tuu, kwani wao hawana tovuti Click to expand... naona bado inakuwa swali juu ya swali ndugu.
abbaczo said: Yaani unahitaji kazi za hapo tuu, kwani wao hawana tovuti Click to expand... naona bado inakuwa swali juu ya swali ndugu.