Mshahara then bei..!Mshahara bei gani?
Mshahara unauzwagwa!!!Mshahara bei gani?
Habari zenu
Natafuta wafanyakazi kwa ajili ya kufanya kazi kwenye restaurant
#Wakike 2 elimu certificate yoyote sio lazima awe na uzoefu wa mambo ya hotel
#Wakiume 1 kwa ajili ya kumsaidia mtu anayetengeneza chips elimu yoyote
#Wakike 1 kwa ajili ya kuosha vyombo elimu kuanzia la saba
Awe muaminifu
Ajiheshimu
Awe Dar es Salaam haswa Wilaya ya Kinondoni itapeneza zaidi
Mawasiliano -0688140911 tuma message tu eleza sifa zako wapi unaishi usipige tafadhali.
Wabilah Tawfiq[/QUOMkuu nimekutext tayari naona namba haiko hewani
MkuuHabari zenu
Natafuta wafanyakazi kwa ajili ya kufanya kazi kwenye restaurant
#Wakike 2 elimu certificate yoyote sio lazima awe na uzoefu wa mambo ya hotel
#Wakiume 1 kwa ajili ya kumsaidia mtu anayetengeneza chips elimu yoyote
#Wakike 1 kwa ajili ya kuosha vyombo elimu kuanzia la saba
Awe muaminifu
Ajiheshimu
Awe Dar es Salaam haswa Wilaya ya Kinondoni itapeneza zaidi
Mawasiliano -0688140911 tuma message tu eleza sifa zako wapi unaishi usipige tafadhali.
Wabilah Tawfiq
Kwasababu watu wanapiga inakuwa kero
Ukitxt tu inatosha muda ukifika utajibiwa
Sikulaumu kwasababu inaonesha huna busaraWatu wanakutext huwajibu si utapeli huu
Kumbe mgahawa bado hata kufunguliwa unatangaza kaziSikulaumu kwasababu inaonesha huna busara
Kama mtu ametuma ujumbe na hajajibiwa asubiri muda ukifika utajibiwa haraka za nini?
Unadhani ni kitu rahisi kumuita mtu?Au unahic umetuma ujumbe peke yako?
Then nadhani ni mgeni kwenye swala hilo ndo maana unahic kutapeliwa
Kama hujajibiwa kitu,hapo umetapeliwaje?
Wanaoelewa husubir kama rizki ipo ipo kama unahic unatapeliwa fine pia sikulazimishi uniamini maana hata mimi ninachojaribu ni kuamini mtu nisiyemjua ndo maana nina subra
NB:Mgahawa haujafunguliwa bado hvy subra inahitajika
Bob hebu fungua mgahawa basi.Kumbe mgahawa bado hata kufunguliwa unatangaza kazi
Basi hata ungekuwa unajibu watu kuwa meseg yako imepokelewa tutakutafuta kama umekidhi vigezo unapokaa kmya watu wanajuwa ni wale wale tu....mimo naongea hv nina fans wangu kwenye page yangu so nkashare tangazo lako sasa kuna malalamiko angalau hata ungekuwa unajibu ingeleta moyo kuliko kupokea meseg halafu kmyaaa
MtuaHabari zenu
Natafuta wafanyakazi kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mgahawa
#Wakike 2 elimu certificate yoyote sio lazima awe na uzoefu wa mambo ya hotel
#Wakiume 1 kwa ajili ya kumsaidia mtu anayetengeneza chips elimu yoyote
#Wakike 1 kwa ajili ya kuosha vyombo elimu kuanzia la saba
Awe muaminifu
Ajiheshimu
Awe Dar es Salaam haswa Wilaya ya Kinondoni itapeneza zaidi
Mawasiliano -0688140911 tuma message tu eleza sifa zako wapi unaishi usipige tafadhali.
Wabilah Tawfiq
Cashier utaki?Habari zenu

Tunaweza tukaongea pembeni kuhusu hilo wakati unasubiri majibu toka kwa shem wangu ?Cashier utaki?
Nakisikiliza mkuuTunaweza tukaongea pembeni kuhusu hilo wakati unasubiri majibu toka kwa shem wangu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusikiliza *Nakisikiliza mkuu
Ndio nina uzoefu wa miaka mi3