gissey anthony
Member
- Oct 8, 2017
- 7
- 2
Hellow wapendwa nilikuwa napenda kuwajulisha watu wote wanao hitaji ajira kuwa kuna hoteli inayo tarajiwa kufunguliwa maeneo ya karume complex kwa yeyote atakaye hitaji anitafute ili nimpe maelezo zaidi .asanteni
Natafuta kazi halaliNilikosea tyu kujueleza
Kwa hivyo tukutafuiltie wap sasa?, kama hujaweka namba za simu wala barua pepeWewe leo una nini? Umeanzisha mwanzo uzi wa kutangaza nafasi ya Kazi katika Hotel na ukasisitiza kwamba unawahitaji mno Wanawake na hukuwa detailed Moderators ' wakaufyeka ' namaanisha ' wakaufuta ' na sasa hivi umekuja tena na uzi mpya ila ulichokibadilisha ni kwamba kwa sasa hivi hujasema kuwa unahitaji Wanawake kama ule uzi wako wa mwanzo. Nadhani utakuwa na matatizo makubwa ya ' Kisaikolojia ' Wewe.
Teh boss anatafuta kazi
Teh boss anatafuta kazi
Nikutafute wapi?Hellow wapendwa nilikuwa napenda kuwajulisha watu wote wanao hitaji ajira kuwa kuna hoteli inayo tarajiwa kufunguliwa maeneo ya karume complex kwa yeyote atakaye hitaji anitafute ili nimpe maelezo zaidi .asanteni