Nafasi za kazi TTCL

KAKA YAKO NAPITA

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
1,322
Reaction score
233
Nafasi za Kazi TTCL
Deadline 10 Sept
Apply online at Www.ttcl.co.tz/onlineappportal
Available positions;
1) Application Administrator
2) ICT Security Engineer IDC
3) Systems and Database Administrator-IDC
4) Power & Cooling Engineer - IDC
5) Senior Developer Analyst
6) Product Coordinator
7) IP Engineers
8) Solutions Integrator - Marketing
9) Developer/Analyst
10) Auditor/Systems and Control Improvement
 
Majibu ya Finance Officer had leo hawajatoa afu wanatangaza kazi zingine ivi hawa wanajielewa kweli??
 

Ahsante, kwa kuchunguza fasta fasta hizi kazi zimekuwa posted tarehe 7, dealine tarehe 10 ni nini kinaendelea huko TTCL? Kw ambao mlifanya interview za mara ya mwisho walipotangaza kazi za IT/Programmer TTCL mishahara iko kwenye range gani?
 
Hivi hii application ya TTCL inakuaje wadau maana kila nikiangalia sion option ya kuambatanisha vyeti au wao wanataka maelezo yanawatosha.

Embu nitoeni gizani au mimi ndio sioni hiyo sehemu ya ku upload vyeti kama system nyinginezo zifanyavyo kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…