Kuna wakati hawa vilaza walitangaza kazi za FINANCIAL ANALYSTS, je hizo walishazijaza? Maanake website yao huwa hawaitumii vilivyo kuelezea kuwa watu wamefanikiwa au la!! Msitangaze kazi tu pia muwe transparent kutangaza watu waliofanikiwa kama mnataka watu wawe na imani na nyinyi ingawa ishara zinaonesha Gavana wenu kazi inamshinda!!