Nafasi za kazi Bank of Tanzania 11/11/2011

hummer

Member
Oct 20, 2011
43
3
Nafasi nzuri za kazi

PROCUREMENT/SUPPLIES OFFICER II– 4 POSTS at Bank of Tanzania in Mwanza


ELECTRICAL TECHNICIAN III – I POST
at Bank of Tanzania in Arusha


COMPUTER SYSTEMS ENGINEER (IT AUDIT) – 1 POST
at Bank of Tanzania in Dar Es Salaam


COMPUTER ANALYST/ PROGRAMMER (IT AUDIT) – 1 POST at Bank of Tanzania in Dar Es Salaam


BANK OFFICER (PROJECT MANAGEMENT)– 2 POSTS at Bank of Tanzania in Dar Es Salaam


SECURITY GUARDS – 5 POSTS at Bank of Tanzania in Dar Es Salaam


Tujaribu bahati ndugu/dada zangu.... tukumbuke kutenda wema kwa wenzetu..
 
Haya sasa watoto wa vigogo kazi kwenu bana cc ndo hivyo 2takomaa kivingine hapa kitaa.
 
Kuna wakati hawa vilaza walitangaza kazi za FINANCIAL ANALYSTS, je hizo walishazijaza? Maanake website yao huwa hawaitumii vilivyo kuelezea kuwa watu wamefanikiwa au la!! Msitangaze kazi tu pia muwe transparent kutangaza watu waliofanikiwa kama mnataka watu wawe na imani na nyinyi ingawa ishara zinaonesha Gavana wenu kazi inamshinda!!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom