Nafasi za Ajira ya Ualimu

Daaa hapo shida kada yetu ya ualimu tunasoma masomo mawili au moja sasa sijaelewa unapo alie soma PCB ina maana anakuja kufundisha masomo yote matatu au atafundish ya professional yake ?

'Tuma maombu haraka...
 
Jamani hizo ni fursa hatuna budi kuzifanyia kazi, even if you apply and be disqualified dont be tired on it

At the mid of crisis is where an opportunity is.
 
Daaa hapo shida kada yetu ya ualimu tunasoma masomo mawili au moja sasa sijaelewa unapo alie soma PCB ina maana anakuja kufundisha masomo yote matatu au atafundish ya professional yake ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo ndipo ile kauli kuwa Private sector ni profit oriented and not service oriented. Inapojithirisha.
 
An nmeishia kupigiwa cm na kuulizwa uko wapi nikawajibu niko kahama, tukupe muda gan utakuwa huku nkawaambia jpil hapo ilikuwaxalhamisi daah hii tz hatari watu wanajyana mbaya lakin

Ahsanten tu japo kwa hiyo cm mliyonipigia all in all God knows
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…