Ni msichana mwenye miaka 24 nina elimu ya kidato cha sita naomba msaada wa kazi aina yoyote.........ninauelewa wa computer ......nina uzoefu katika mauzo ya bidhaa kam nguo na vipodozi.......naishi Dar es salaam
Ni msichana mwenye miaka 24 nina elimu ya kidato cha sita naomba msaada wa kazi aina yoyote.........ninauelewa wa computer ......nina uzoefu katika mauzo ya bidhaa kam nguo na vipodozi
Ndugu nina kijana wa miaka 25, ana elimu ya kidato cha sita, na amesomea Computer pale UDSM Computer Centre, kama una nafasi za kutosha tafadhali julisha