Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,682
Daaah mkuu nipo dar salamu hapa mkuu...Hahahah dah unakaa wapi?
Nani huyoHili jamaa ni lijinga sana 🤣🤣
Mkuu inamana unataka kusema mimi domo zege au vipi .😂😂🙌🙌Hahaha bora hata mimi domo zege ujinga kama huo naepuka 🤣🤣🤣🤣
We ni fala ushaharibu
Daaah kwann mkuu wanguWewe hapo unadhani nani
Mitaa mingine jau sanaHili jamaa ni lijinga sana 🤣🤣
Ni yeye mkuu tangu Nafka alikua na shobo ila mi nikachukulia mtu mzima yule maana gape yetu ni kubwa hatoweza kuwaz hvoPoor Brain tueleze huyo mbibi alieanza kumshobokea mwenzie ni wewe au yeye
Huu mji wa ovyo. Sema next time usishoboke na mabinti wa mtaani kwako. Angaika na vitongoji vitatu mbele.Daaah mkuu nipo dar salamu hapa mkuu...
Mkuu hi changamoto imekua kubwa sasa
Daaah mkuu acha tuu kuna watu wanakera mi natamani nikodi wahuni wakibakilie mbali hukoNamaanisha mimi ni domo zege hizo ghasia sikutani nazo kabisa
Ndio ni uswahilini ila sio sana mkuuItakuwa anaishi uswahilini huyu dogo
Mkuu imagine mtu anatangza kuwa una mmega na ukichek ni age go wee unafanya nn hapoHuu mji wa ovyo. Sema next time usishoboke na mabinti wa mtaani kwako. Angaika na vitongoji vitatu mbele.
Aah nimekumbuka mara nyingi wanawake wakitongoza wakakataliwa inawaumaga sana hiyo yaani sana tu itakuwa ndo maanaNi yeye mkuu tangu Nafka alikua na shobo ila mi nikachukulia mtu mzima yule maana gape yetu ni kubwa hatoweza kuwaz hvo
T3Kwema kwema wakuu...
Wakuu nimekuja tena maana hapa ndio hom sweet hom..
Sifanyi kitu hovyo bila maoni na ushauri wenu wakuu..
Sasa wakuu hii ishu ya kutoka na watu wazima sasa imeanza kunipa negative effects...
Bila kuzunguka wakuu kuna bibi mmoja hvi ameanza kutanganza kwa wadau na wamama wenzake kuwa mimi namtaka.. alafu yeye amenikata..
Sasa naanza kupata story kwa kila mtu nae kutana nae mtaani hapa kwamba mimi nimtaka huyo bibi wakati ni kitu hakipo kabisa aiseeeeee..
Sasa wakuu hii imeanza nialibia CV hapa mtaaa maana kila sister duu wemeanza kunitenga kwa kuzani mimi nakula yule bibi sijui ..
Afadhari angekua hata anajiweza au ana T 3 ila hana .
Wakuu naombeni ushauri huyu mtu ili asiendelee kunisambazia mbya nifanyaje maana nishamblok kila sehemu na wala siongei nae tena l...
Naona hiko kitendo cha mimi kukaza kuongea nae na yeye ameanza kuzusha mbaya aiseee....
Wakuu nafanyaje hapa..??
Manyanza
Angel Nylon
Classmate unakula vikongwe??🤣Kwema kwema wakuu...

Daaah mkuu najaribu kufanya hv ila naona sasa anawambia mpaka vijana wa kiume wenzanguUkipambana nae unakuza mvumo wa story Kaa kimya ikose Kiki.