Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,251
- 40,817
Mikia : Yanga haijawahi kuingia makundi Champions League.
Yanga : Remember 1998, sisi ndio waasisi, tena ilikuwa 8 bora sio nyie makundi timu 16.
Mikia : Yanga haijawahi kujaza uwanja wa Taifa wasipocheza na Simba.
Yanga : Remember Yanga vs TP Mazembe mpaka mageti yakafungwa na watu wakafukuzwa na mabomu warudi nyumbani.
Mikia : Yanga haiwezi kujaza uwanja mpaka waingizwe bure.
Yanga : Remember fainali ya Kagame Cup ,Yanga vs Azam FC.
Remember Yanga vs Al Ahly, ile mechi Canavaro anafunga goli la kichwa, tulikuja kukaa mpaka upande wenu mkaita polisi wakatufukuza kwa mabomu?.
Mikia : Simba ni timu bora kimataifa.
Yanga : Remember mwaka jana ktk kupanga makundi yule mtangazaji wa Egypt aliitaje Yanga, A Big Team from Tanzania, tuone nyie kama mtapewa hiyo heshima.
Pia angalia CAF walipowapanga ktk pots za seeding, mmewekwa Level 4, yaani ambazo ni vibonde ktk zile 16 zote.
Kwa msiofahamu Simba kapangwa Level 4 na timu kama Soura na Lobi ambazo ndio zinshiriki Champions league kwa mara ya kwanza.
Mikia : Simba sasa hivi timu kubwa tunashundana na level za kina Mazembe, sio nyie mnacheza na Tukuyu.
Yanga : Remember kesho mtacheza na timu ya Mashujaa toka Kigoma ebu mtuambie Kigoma ni nchi au kwa kuwa iko karibu na Burundi?
Mikia : Lile goli la Chama ni goli bora halijawahi kufungwa.
Yanga : Remember yule kijana wa under 20 ya Mbao alifunga goli kama lile kabla hajaenda kushangilia pembeni na kupoteza maisha.
Mikia : Yanga mlivyoona uwanja umejaa mkatamani mtembeze bakuli.
Yanga : Remember , Yanga kuchangishana sio jambo geni, tena tulienda mbali tuliwachangia ktk rambirambi ya Mafisango na pesa hamkufikisha, hatutaki kuongelea na tulizowachangia mwaka jana.
Mikia : [emoji24]
Yanga : Unalia nini sasa?View attachment 977346
Wewe chura weka hizo seedings unazosema kuhusu Champions league draw itakayofanyika Ijumaa tarehe 28/12/2018.
Uongo njia yake fupi.
Kwa sababu mimi ninazo.
Matatizo wakati tangu anazaliwa Yanga ndo alikuwa bingwaulaaniwe unamrithisha mtoto matatizo
Mkuu mwambie aweke hizo seedings.Pot 1 mpaka Pot 4.Hizo seeding ni kawaida kwa sababu simba hajashiriki muda mrefu
😁😁 sasa hapo nani anateseka?kwanini unateseka namna hii!!basi tufanye hivi,yanga ndo timu tajiri kuliko zote,ndo wenye magoli mengi kuliko wote,wamechukua hadi kombe la dunia la vilabu, juzi walicheza na madrid..!!kawaida masikini kuona anaonewa kwa kila jambo ,poleni sana maana mateso ndo kwanza yameanza!!
Hizo ndoto za mchanaWalijaza uwanja kwa msaada wa Manji
Mpo level 4 mkuu haina haja yakuleta hapa kama utaendelea kuwa tomaso nitakuleteaMkuu mwambie aweke hizo seedings.Pot 1 mpaka Pot 4.
Lete kunguni mwitu wewMpo level 4 mkuu haina haja yakuleta hapa kama utaendelea kuwa tomaso nitakuletea
Nadhani unakuwa mjinga zaidi unaposoma na kukomenti, mwelevu huwa anapita tu ila mbumbumbu lazima allotment (in Rage voice)Kukaa na kuanza kuandika ujinga inhitaji moyo
Wewe kama hilo tu hujaliona kuwa nyie ndo underdogs Caf utakuwa si pure shabiki wa mikiaLete kunguni mwitu wew
Wagumu kuelewa mkuu hadi utumie nguvu sanaHizo seeding ni kawaida kwa sababu simba hajashiriki muda mrefu
Lete ulizo nazo ww hapa kama Simba mpo level one or two au hata threeWewe chura weka hizo seedings unazosema kuhusu Champions league draw itakayofanyika Ijumaa tarehe 28/12/2018.
Uongo njia yake fupi.
Kwa sababu mimi ninazo.Hoja zako zingine ni za kitoto sana hazistahili kutengewa muda.
Ushauri hizi pesa unazotumia kuweka bando na kuandika mambo ya kijinga ungepeleka kwenye kapu la michango zingesaidia kupeleka vyura Mbeya.
Kwani level 4 akishinda haendi robo, nusu na fainali? Hoja za kitoto sana hiziMpo level 4 mkuu haina haja yakuleta hapa kama utaendelea kuwa tomaso nitakuletea
Umechangia timuWewe kama hilo tu hujaliona kuwa nyie ndo underdogs Caf utakuwa si pure shabiki wa mikia