GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,611
- 127,998
Kweli jamaa ni chizi ndio maaana Jomo Kenyata alikua anamchana live baba yake
sio kosa la laila ni kosa la DNA zake
mimi Binafsi sijawahi kumuamini kwani Odinga's ni vibaraka wa Serikali Tawala wanajua kabisa hakuna siku Nchi itakuja kuongozwa na ODM under NASA na wanajua wao ni permanent opposition 100%Huyu Mzee kaniudhi to the maximum Mkuu. Hivi kweli kwa Mtu mwenye akili timamu, zilizotukuka na zinazomtisha kabisa anaweza katika Karne hii ya Kimaendeleo kuthubutu kuwaambia Watu wake kuwa wasiende Kazini? Hivi huyu Mtu hawezi pia kuwataka Watu wake wasibanduane / wasingonoke / wasifanye mapenzi? au kama akiachwa hivi hawezi siku moja pia akawataka Watu wake kuwa wasijisaidie hata kwa wiki moja ili kuonyesha ukakamavu / ukomavu Wao.
Nilikuwa nampenda ila nimemchukia rasmi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dahMkuu choo cha Odinga kitakuwa kina kaarufu zaidi mara 2 ya cha kawaida
Nani akipime unadhani
Huyu Mzee kaniudhi to the maximum Mkuu. Hivi kweli kwa Mtu mwenye akili timamu, zilizotukuka na zinazomtisha kabisa anaweza katika Karne hii ya Kimaendeleo kuthubutu kuwaambia Watu wake kuwa wasiende Kazini? Hivi huyu Mtu hawezi pia kuwataka Watu wake wasibanduane / wasingonoke / wasifanye mapenzi? au kama akiachwa hivi hawezi siku moja pia akawataka Watu wake kuwa wasijisaidie hata kwa wiki moja ili kuonyesha ukakamavu / ukomavu Wao.
Nilikuwa nampenda ila nimemchukia rasmi.
Naona umeamua kuharisha!!!! Uzi wa hovyo kabisa huu!!!! Huwezi kumdhalilisha Odinga kiasi hiki!!!!
Odinga is a most famous honorable respected legendary leader!!!
Ni haki yake kuitafuta haki yake Kwa namna ambayo itamfaa, ameibiwa kura huyu!!!!! Sasa ulitarajia akae kimya huku wakenya wamedhulumiwa haki ya kumpata Kiongozi wao halali!!!
You deserve a long term ban!!!! Moderators angalia huyu member!!! Atendewe haki yake ya ban!!!
Relax umepanic ni chungu lakini ni dawa,ukiitumia vizuri utapona tu.Naona umeamua kuharisha!!!! Uzi wa hovyo kabisa huu!!!! Huwezi kumdhalilisha Odinga kiasi hiki!!!!
Odinga is a most famous honorable respected legendary leader!!!
Ni haki yake kuitafuta haki yake Kwa namna ambayo itamfaa, ameibiwa kura huyu!!!!! Sasa ulitarajia akae kimya huku wakenya wamedhulumiwa haki ya kumpata Kiongozi wao halali!!!
You deserve a long term ban!!!! Moderators angalia huyu member!!! Atendewe haki yake ya ban!!!
nilimsikia akisema aamini mahakama .. that means anaamini njia nyinginekama hizi anazo amasishaIt's really unfair kwa anayoyafanya. Katiba ya Kenya iko wazi kabisa kuwa mtu anayo haki ya kuhoji matokeo ya uchaguzi mahakamani na anapewa siku 14 ili kufanya hivyo. Huyu. Wana alilalamika kwenye tume wakahesabu kura tena na bado ana siku 14 za kuomba uhakiki mahakama kuu. Sasa kwanini ana incite watu walete fujo wakati anayo nafasi bado!? Dalili za kutumia bangi ziko kama haya anayoyafanya huyu bwana!!!!
Bahati mzuri nimeufuatilia uchaguzi ule bila ya mahaba wala kuegemea upande lakini siku za mwisho za kuelekea upigaji kura kama ningalikuwa ni Mkenya mimi na Familia yangu kura zote tungempigia Kenyata na Ruto.Huyu Mzee kaniudhi to the maximum Mkuu. Hivi kweli kwa Mtu mwenye akili timamu, zilizotukuka na zinazomtisha kabisa anaweza katika Karne hii ya Kimaendeleo kuthubutu kuwaambia Watu wake kuwa wasiende Kazini? Hivi huyu Mtu hawezi pia kuwataka Watu wake wasibanduane / wasingonoke / wasifanye mapenzi? au kama akiachwa hivi hawezi siku moja pia akawataka Watu wake kuwa wasijisaidie hata kwa wiki moja ili kuonyesha ukakamavu / ukomavu Wao.
Nilikuwa nampenda ila nimemchukia rasmi.
Mda mwingine haki ina patikana kwa maamuzi magumu sanaHuyu Mzee kaniudhi to the maximum Mkuu. Hivi kweli kwa Mtu mwenye akili timamu, zilizotukuka na zinazomtisha kabisa anaweza katika Karne hii ya Kimaendeleo kuthubutu kuwaambia Watu wake kuwa wasiende Kazini? Hivi huyu Mtu hawezi pia kuwataka Watu wake wasibanduane / wasingonoke / wasifanye mapenzi? au kama akiachwa hivi hawezi siku moja pia akawataka Watu wake kuwa wasijisaidie hata kwa wiki moja ili kuonyesha ukakamavu / ukomavu Wao.
Nilikuwa nampenda ila nimemchukia rasmi.
We will not allow our President Magufuli to torelent stupid person like Raila Odinga. Dunia nzima tumeshuhudia uchaguzi wa Kenya ulikuwa huru, wazi na haki, na international reliable obsevers wote wamesifu uchaguzi wa Kenya na iko habari Barrack Obama atahudhuria kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta.Raila ni conman, muuaji na mwizi.
Aliwekwa detention after kujaribu kugeuza serikali ya Moi 1982. Akatudanganya alikuwa anapigania demokrasia.
2007 watu walipokuwa wanauana, ata hakujaribu kutuliza moto. Alikataa kabisa kuambia wafuasi wake waache vita. In short, alikuwa Prime Minister juu ya maiti 1200.
Huu mwaka, Raila hajaibiwa kura. Kila mtu aliye na akili anajua hivyo. Ndio maana ata makamu wake Kalonzo Musyoka amenyamaza. Wanaopigana tu ni Jaluo hooligans.
Alafu ni upuzi kusema ulishinda, ilhali Uhuru alipata majority ya kila kitu. Kutoka MCA, MP, Senator, Governor, Women rep.
Wataka kutuambia watu walichagua Jubilee hapa chini, lakini wakachagua Raila hapo juu?
Finally, kama Raila anatafuta haki, hio haki haiko Kibera au Mathare. Hio haki iko kwenye courts of law. Raila anachochea wafuasi wake ili walete vurugu apate kuwa Prime Minister tena.
Mwisho kabisa, ata wale marafiki wake wazungu washamtambua Raila. Saa hii hana marafiki popote isipokuwa Magufuli.
Jitokeze barabarani na siyo nyuma ya keyboard ukaione service ya Polisi.