Prince naithy
Member
- Nov 18, 2015
- 57
- 3
hata wakubwa nao siku hizi wanaandika utaona mtu anatuma sms: cct shmk YAANI sister shikamoo🙁Ndio uandikaji gani huu!! Miaka hiyo ukimkuta kijana hata kama ameishia darasa la tano alikuwa haandiki hovyo kama hivi.. Hiki kizazi cha ajabu sana
Alafu unakuta ni libaba kabisa.. Hahahah hatari sanahata wakubwa nao siku hizi wanaandika utaona mtu anatuma sms: cct shmk YAANI sister shikamoo🙁
Kwanza man hao wamekula fuba yetu waliyotuambia tuapply bachelorWadau eeeeeeeeeeh nacte bado hawaja toa au mpakq weeeek 4 zijazooooo nn
Coz wamesema mpk week 4 yaaan trh3 mpaka leo trh 21 bado ci mazinguZi haya au wame tusahau nn
Kama uli Apply Bachelor kupitia NACTE, profile yako inapelekwa TCU. Kama tu una GPA juu ya 3.5 basi utachaguliwa.Kwanza man hao wamekula fuba yetu waliyotuambia tuapply bachelor
bora hvyo mkuu asante kwa taarifaKama uli Apply Bachelor kupitia NACTE, profile yako inapelekwa TCU. Kama tu una GPA juu ya 3.5 basi utachaguliwa.
Hakika mkuu.Halafu analilia nacte sijui wamfanyaje kwa uandishi huu.Ndio uandikaji gani huu!! Miaka hiyo ukimkuta kijana hata kama ameishia darasa la tano alikuwa haandiki hovyo kama hivi.. Hiki kizazi cha ajabu sana
Ndio kwanza wiki ya pili kwa hesabu zao za memkwaWadau eeeeeeeeeeh nacte bado hawaja toa au mpakq weeeek 4 zijazooooo nn
Coz wamesema mpk week 4 yaaan trh3 mpaka leo trh 21 bado ci mazinguZi haya au wame tusahau nn
Changia hoja acha mbwembweAlafu unakuta ni libaba kabisa.. Hahahah hatari sana
Fanya maandaliz bado cku chache mtahiniweChangia hoja acha mbwembwe