Nacte wanafungua lini?

bento

Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
37
Reaction score
3
nacte manafungua lini watu tuombe vyuo maana TCU wamefanya hivyo na kuwafanya 4m six waliokuwa uwa hawajaomba vyuo waombe na wengine wafanye marekebisho.

vyuo vingi kwa ngazi ya diploma matokeo yametoka kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa na vingine mpaka muda huo ilikuwa bado. sasa waliomaliza diploma wangeaplly vip wakati matokeo hakuna. pia wapo watu ambao wametuma pesa zao na wameshindwa kutokana na matatatizo ya kimtandao na wako mbali na da es salaam.

kinacho shangaza ni haraka muliio kuwa nayo mwaka huu wakati vyuo vina fungua mwezi wa 11 , na manafahamu ni vyuo vichache kufikia deadline vilikuwa vimeshatoa matokeo .

hebu fanyeni hima mufungue watu waombe maana mtakuwa na wapoteza muda kwa vinjana wengi kusubli mapka mwakani.

mbaya zaidi majibu yenu haya lidhishi pindi mwanafunzi anapo wafata kuwa uliza na manakuwa wakari sana. kama vipi mfumu wakuomba direct chuo urudishwe maana hakuna haja ya kwa na tasisis inajua kupokea elifu hamusini sh.50000 za mtoto wa mkulima then mnakuwa kimya wakati munajua vyuo mnavyo visimamia wenyewe nacte ndivyo vime chelewesha matokeo.
 
Mbona hakuna mpangilio mzuri wa uandishi wako?!
 

Manafungua= wanafungua
Uwa hawajaomba= hawajaomba.
Malekebisho=marekebisho.
da es salam= dar es salam
Muliio= mlio
Manafahamu = wanafahamu.
Kusubli= kusubiri
Hayalidhishi= hayaridhishi.
Wafata= wafuata.
Manakuwa= wanakuwa
Wakari= wakali.
Mfumu= mfumo
Kwa na taasisi = kuwa na taasisi.
Elifu= elfu
Hamusini= hamsini
SIZANI KAMA UTAPATA MSAADA KWA UANDISHI HUU ...HATA KAMA MIMI NI NACTE NINGEKUKATA TUU..
 

Kwa kweli..haivutii hata kidogo.sasa akiandika lugha ya malkia je?
 
Kwa kweli..haivutii hata kidogo.sasa akiandika lugha ya malkia je?

Hahahaaa noma sana. Halafu kaandikia TCU na NACTE. Sijui hata kama wapo huku wataisoma
 
Tuwe wachunguzi na uelewa jamani nacte walianza admission mapema around mwezi wa nne hivi na deadline imekuwa extended mara tatu. Sasa wako kunye kuchakata matokeo ya wakioomba ambao wana hamu ya kujua majibu yao tuwe wavumilivu nafasi itatolewa tena kwa wote late comers. Naomba kuwakilisha
 


sizani=sidhani
 
nacte wametoa ngapi unaweza kuzitaja tarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…