NACTE DIPLOMA

NACTE DIPLOMA NITATOKA ?

  • 50

    Votes: 0 0.0%
  • 80

    Votes: 2 100.0%

  • Total voters
    2

MEKADDISHKEM

Senior Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
154
Reaction score
151
wakubwa Shikamoo
wadogo habari za jioni
nimeapplay diploma in pharmaceutical na nyingine ya laboratory HAPO KIU matokeo yangu ni
MATH.C PHYS.C CHEM.B BIOS.B+
je nitapata kweli na vp Kuhusu diploma ya computer science Nimeona but sjaichagua vp nzuri niichague before Leo saa 5:59 coz dio dead line
nikichaguliwa advance lakini cikwenda kutokana na uwezo mdogo wa kifamilia but now Kuna Mtu kajitolea kunisomesha
Msaaada wenu tafadhali
 
hapo unatakiwa kucheza na opportunity cost kazi kwako
 
A Level serikalini kuna gharama gani? By the way kama huna uwezo kabisa husoma bure!
 
Chagua tu na hiyo. Ila kwanini hujachagua diploma hata moja ya masuala ya biashara??
Nakushauri uchague na biashara
 
Chagua tu na hiyo. Ila kwanini hujachagua diploma hata moja ya masuala ya biashara??
Nakushauri uchague na biashara
Asante kwa ushauri Kat.ph
nimejaribu lakini kwa sasa CAS na Nacte hazifunguki
 
kasome laboratory tech,nursing,clinical officer,kwenye computer ukipenda nenda unique academy soma diploma alafu specialize kwenye networking engineering
Asante kwa ushauri cilla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…