A Anonymous Guest Aug 9, 2024 #1 NACTE Dar es Salaam wana huduma mbovu sana, ukipiga simu hawapokei haswa customer care unaweza kuwapigia hata mwezi bila kupokea simu, pia hata ukifika ofisini kwao wapo bize na mambo yao tu.
NACTE Dar es Salaam wana huduma mbovu sana, ukipiga simu hawapokei haswa customer care unaweza kuwapigia hata mwezi bila kupokea simu, pia hata ukifika ofisini kwao wapo bize na mambo yao tu.
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,602 Reaction score 22,707 Aug 11, 2024 #2 Taasisi nyingi za Serikali huduma hasa kwa wateja ni mbovu mno.
C Camp 05 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 3,012 Reaction score 2,904 Aug 11, 2024 #3 Mikopo nyonya damu na kukosa matumaini ya kesho,pia unaona watu wanapiga pesa wewe unasoma gazeti inakuwaje hii.
Mikopo nyonya damu na kukosa matumaini ya kesho,pia unaona watu wanapiga pesa wewe unasoma gazeti inakuwaje hii.