kikahe JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 1,350 Reaction score 284 Nov 20, 2011 #1 Karibuni tuangalia live Emmanuel TV hapa:Emmanuel TV
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Nov 20, 2011 #2 kuna nini....?
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Nov 20, 2011 #3 Preta said: kuna nini....? Click to expand... EL anahudhuria misa kila j2
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Nov 20, 2011 #4 kumbe unaenda kumuangalia EL baada ya kusali kweli unamsafisha kama tb joshua anavyofanya kwa EL..
G Giddy Mangi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 830 Reaction score 184 Nov 20, 2011 #5 Leo Jakaya amekwenda kusali?
kichomi JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 507 Reaction score 54 Nov 20, 2011 #6 Giddy Mangi said: Leo Jakaya amekwenda kusali? Click to expand... Kwani leo ijumaaa?
KING COBRA JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 2,782 Reaction score 877 Nov 20, 2011 #7 Inkoskaz said: EL anahudhuria misa kila j2 Click to expand... Lowassa anafanya Michango Makanisani huku anakwenda nigeria, Hiyo Emmanul Tv amekwendaji wakati Dodoma kuna waka Moto?? Kuna akina Lowassa Wangapi???
Inkoskaz said: EL anahudhuria misa kila j2 Click to expand... Lowassa anafanya Michango Makanisani huku anakwenda nigeria, Hiyo Emmanul Tv amekwendaji wakati Dodoma kuna waka Moto?? Kuna akina Lowassa Wangapi???
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Nov 20, 2011 #8 Hiyo Emmanuel tv ni ya kanisa gani tena jamaa
kikahe JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 1,350 Reaction score 284 Nov 21, 2011 Thread starter #9 Shine said: Hiyo Emmanuel tv ni ya kanisa gani tena jamaa Click to expand... Synagogue church of all nations
Shine said: Hiyo Emmanuel tv ni ya kanisa gani tena jamaa Click to expand... Synagogue church of all nations