Kwanza pole sana kukosa point moja hua inauma sana, uchumi ni mgumu, kama ulifeli economics skushaur urudie nenda diploma, kama yamezngua hist au geog nashaur rudia uingie degree moja kwa moj
NB, elim nikupoteza muda angalia na umr wako pia
Nenda diploma ww acha kupoteza muda, kama mkwanja upo home unasubiri nn sasa?? Degree utakuja kusoma mbeleni tu huko kwanza shule ya diploma ni better zaidi ya degree, degree huku tunatafuta title tu Ila mambo mengi ukipitia diploma unakuwa unajua...