ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,801
- 60,648
Sio ndoto mkuu hii ni really live kabisa watu wajue kwamba nyakati hizi za mwisho wa mfumo wa mambo Ilikuwa ni lazima binadamu apotoke Sana kwenye suala la uzinzi ili ile ghadhabu ya siku ya bwana isichelewe.vijana wawe makini na ibilisi baba wa uongoNdoto nzuri kiasi, umeiota usiku au mchana?
Kwa hiyo Sasa mnanisaidiaje?nisije kuwa nimezoa virus Kama vyote??[emoji24][emoji24][emoji24]Condom huwa inapasuka mkuu sio kuchanika
Waga ni swaga tu"waga" ndo nn mkuu? ..nimeziona nyingi kwenye thread
Anhaaa yaan imenifanya nisielewe madaWaga ni swaga tu
Anza kutumia ARVKwa hiyo Sasa mnanisaidiaje?nisije kuwa nimezoa virus Kama vyote??[emoji24][emoji24][emoji24]
Kwani inachukua muda gani kupima na kukutwa nao endapo umesex na muathirikaAnza kutumia ARV
Nipime baada ya muda gani?mwezi au itakuwa bado haionekaniAnza kutumia ARV
Hata sijui. Mie si mtaalam wa afya. Ngoja waje wajuziKwani inachukua muda gani kupima na kukutwa nao endapo umesex na muathirika
Are you serious kwamba ilipasuka?Nipime baada ya muda gani?mwezi au itakuwa bado haionekani