Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Bado uefa soon juma nne yaani kesho
Ni suala la mda tu hiyo rekodi mzee wa ma hat trick ataivunja.
Messi watch out! The beast is coming!
Ronaldo anaweza kuifikia pia....
6 season in epl = Ufungaji bora mara moja ??
Ubora wake nini ??
CR went to Madrid akiwa tayari keshaiva, Messi kaanza akiwa mtoto... you cant compareAcheni ushabiki maandazi, ronaldo stil ni mzuri, kumbukeni kafunga hayo magoli 198 katika misimu mitano wakati messi imemchukua misimu 10 kufikisha hiyo record.
Messi ni mzuri, ila fans zake mnasababisha baadhi ya sifa zake kutoonekana sababu ya mapenzi yaliyopitiliza.
"I think he will leave the record unreachable for anyone else."
Ni suala la mda tu hiyo rekodi mzee wa ma hat trick ataivunja.
Acheni ushabiki maandazi, ronaldo stil ni mzuri, kumbukeni kafunga hayo magoli 198 katika misimu mitano wakati messi imemchukua misimu 10 kufikisha hiyo record.
Messi ni mzuri, ila fans zake mnasababisha baadhi ya sifa zake kutoonekana sababu ya mapenzi yaliyopitiliza.
Top scoarer in la liga right now:
[TABLE="class: data, width: 751"]
[TR]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD]Cristiano Ronaldo[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD="align: center"]20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD]Neymar[/TD]
[TD]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]3[/TD]
[TD]Lionel Messi[/TD]
[TD]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD]Karim Benzema[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD]Joaquin Larrivey[/TD]
[TD]Celta Vigo[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD]Carlos Bacca[/TD]
[TD]Sevilla FC[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
6 season in epl = Ufungaji bora mara moja ??
Ubora wake nini ??
hebu tuanzie hapa
Cristiano Ronaldo makes La Liga history
His two goals at Eibar saw him reach 20 inside the first 12 matchdays, a mark never previously witnessed.
Christiano Ronaldo has once again written his name into the history books. The Portuguese star's two goals against Eibar mean he has already chalked up 20 in this season's Spanish top flight. Nobody in La Liga history had ever previously reached the tally boasted by the Real Madrid forward inside 12 matchdays. The Ballon d'Or holder, who stretches his lead in the race to be crowned the league's highest scorer, has found the net against every La Liga team that he has faced.
takwimu huwa haziongopi ukitaka kufahamu nani mzuri kati ya messi na CR 7 fatilia.wote wanao sema cr 7 ni zaidi ya messi huwa ni chuki tu na kuwa na hisia za kumpenda zaidi ronaldo.mess is exceptional kama alivyo kuwa ronaldnho na zidane