Mzunguko wa noti bandia mkoa wa Iringa

Nyamboboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
360
Reaction score
459
Kuna mzunguko mkubwa sana wa noti fake kwa mkoa wa Iringa(hasa wilaya ya Iringa huku Pawaga)

Naomba Serikali kupitia vyombo vyake ifuatilie hili jambo. Inasemekana kuna wanunuzi wa mpunga waliingia na noti hizo wakaziingiza kwenye mzunguko.

Ukiwa na noti tano za elfu hukosi noti moja isiyokuwa halali yaani fake!
 
Duh, pesa bandia zimerudi tena? Kwa kweli bitozo wanamchezea sana
 
Weka utasaidia kuokoa wengi. Mtu ameteseka takribani nusu mwaka kulima hadi anavuna lakini njema mmoja anakuja anampa pesa bandia? Inaumiza
Natamani niweke picha hapa za hizo noti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…