Ushauri wngu mpeleke Mzumbe maana kule atajenga kitu kichwani kutokana spirit iliyojengeka pale shuleni. Kwa sisi watoto wa mjini tuliosomaga Azania tulikuwa tunasoma kwa spirit iliyojengeka zamani Azania vichwa kwnye hesabu.
Angalizo ukimpeleka huko private muandalie hela ya kumsomeshea as private Chuo kikuu maana sisi wengne tulichukuliwa na shule moja private baada ya kufanya vizuri o -level cha moto tulikiona chuo kwnye mikopo,ukiangalia familia uliyotoka ya kuungaunga ilikuwa balaa tupu.