Butiku alipotoka!!! CCM kama mfumo bado ni chafu. Kuondoka kwa Lowassa hakuifanyi CCM kuwa safi! Kama tatizo ni mtandao basi alitakiwa kumchana na JK pia!
Hofu ya butiku ,UKAWA wakishinda Nyerere foundation watakosa ruzuku ,naye atakula wapi ,pia hakujiandaa kama wakina warioba wenye magetto makali huko osterbay ,lakini ukweli ni kwama haipendi CCM .
mzee butiku ana hofu kama walizokuwanazo wengine ktk ccm so kuongea vile ni ktk kudanganya akili kuwa umeshiba wakati una njaa kama swala la mtandao kiongozi yeyote dunian ukitaka kugombea cheo chochote ni lazima uwe na watu wanao ku support ndani ya chama kwanza kwani process za siasa zinaanzia kwenye ngazi ya chama kwanza then zinaishia kwa wenye vichinjio hata ndugu yake nyerere alikuwa na mtandao kuanzia Tanu kwani alivyotoka bush kwao na kukuta wazee wa kizaramo wameanzisha chama si alijiunga kama mwanachama wa kawaida so kuanzia mwanachama wa kawaida mpaka ikulu si mtandoa ndo ulifanya kazi je kusingekuwa na watu wanaomsuport ndani ya tanu angekuwa rais? je wazee wa tanu wangetuletea mtu mwingine tofauti na nyerere tusinge piga kura ? mpaka akawa PM kwa wiki 8 sema mtandao wa lowassa ulikuwa ni high tech leo kumshawishi padre amkubali mtu wa dini nyingine na kumwona ni chagua la mungu si mchezooo ujue ok mzee butiku tumekusikia
bt its too late tayali tumeshafanya hard decision ya kuitoa ccm kwani USA ni matajili na ni ya pili kwa uchumi mkubwa lakini wanabadili vyama madalakani itakuwa sisi wa chini ya dola moja kwa siku? kingine hv kwa nini mnapenda ku verify kauli zenu kupitia nyerere kwani nyerere ni mtume au nabii wa ngapi mpaka kila alilosema lionekane limetoka kwa mungu"? leo mtu aliekaa madalakani miaka 21 huu si ulikuwa uchu wa madalaka hv miaka 21 tanzania ilikuwa aijapata mtu mwenye akili kuwa rais mpaka awe yeye tu hv angekuwa kama mandela aliekuwa jela kwa miaka 20 akatoka na akawa rais kwa muhula mmoja tu je angekuwa yeye ingekuwaje wakati amepewa uhuru hata bila ya kuchomwa hata sindano amekaa miaka 21 je angekwenda jela ingekuwaje??