Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Huwa inatokea hio mara nyingi huwa ni matatizo ya kiufundi s provida.
Hata me kuna muda ikitokea ila niliwapigia wakanipa namba zingine ikapiga kazi kamam kawa ilikuwa airtel kama ikiwa bafo inazingua wapigie alaf uwaambie hilo problem
bila bila mpaka sasa kitu haipokei wala kutuma
ngoja niwapigie
Vip wanasemaje