Habar wanajf napenda kusikia maoni kutoka kwenu.
Natumia huawei 330 IPO rooted baada ya mda mrefu naitumia katika ubora wake ila likatokea tatizo LA kupotea kwa phone icons na contact katika kurekebisha nikajaribu kapakua app zingne za dial ila ikawa plystory inagoma kudownload na kuandika error sasa nashindwa nifanyeje hats nikipakua app nje ya play story file halifunguki.
He nitumie njia gani niweze kupiga sim au sm yangu iweze kuonyesha majina kwa kuwa hata Niki restory bado haiwi katika mpangilio wake
Rooting is a b*tch.....
Mkuu maamuzi sahihi imenitokea hata mm yaani kwenye samsung s3 lakini mm s voice haifanyi kazi, playstore haifanyi kazi.... Kuna simu nimejiunga playstore ikawa haifanyi kazi inaniletea error text... nikahisi bundle imekata nikajiunga tena kumbe nina mb za kutosha tuuu..... Now i can't updates apps kwenye simu yangu.... Am thinking to unroot....
Hili tatzo hata mm limenikumba baada ya kuroot simu yangu playstore haionekani na nikidownload haisomi,wenye uelewa na hili waje watusaidie
Nimejaribu kaka lakin tatizo likawa vilevile.
rudisha stock rom kama factory reset haijafanya kazi.