What are you tryin to convey mzee?Diamond should Try Ragga Muffin, The new version ya diamond kwenye Kurap kwangu ni nzur zaid kuliko nyimbo anazotoa sasa hvi.
Reffer kwenye Fresh Remix na ile Teaser ya all way up.
Coke wanazingatia hatua zote za utayarishaji wa mziki.. sio hizi track za kupush na skendo.collabo ya hatari sn hiyo huwasichoki kuisikiliza hata jana nimeiplay all the day....
"moyo wng unaenda paraparaaa lalalaaaaaaaaaa!!!" hiyo ngoma ni noma mno
ni kweli mkuu maana kama ni gitaa unalisikia gitaa kweli kifupi vyombo vingi vimetumikaCoke wanazingatia hatua zote za utayarishaji wa mziki.. sio hizi track za kupush na skendo.
Me mwenyewe Mond namuona kwenye Ragga lkn kwa kuimba naona Coke linampeleka jina tu. Na wengine ni upenz tu ndo unawafanya wasione mapungufu ya Mondi pale studio. Nifatilia clip moja hapo Coke anaimba live, hamna kitu. Afanye Ragga na Muffin kubana pua awaachie akina Baraka Da Prince.Diamond should Try Ragga Muffin, The new version ya Diamond kwenye Kurap kwangu ni nzur zaid kuliko nyimbo anazotoa sasa hvi.
Refer kwenye Fresh Remix na ile Teaser ya all way up.
Bila shaka unazungmzia ile clip ya African Queen. Alizingua kweli.Me mwenyewe Mond namuona kwenye Ragga lkn kwa kuimba naona Coke linampeleka jina tu. Na wengine ni upenz tu ndo unawafanya wasione mapungufu ya Mondi pale studio. Nifatilia clip moja hapo Coke anaimba live, hamna kitu. Afanye Ragga na Muffin kubana pua awaachie akina Baraka Da Prince.
Yah ni kwe abadilike kule ili aweze kuendlea kwenye huu mzik maana naona wabana pua wanaongezeka na hata kwenye WCB washakuwa weng so akifanya hiyo aina itakuwa mpya then ataongeza Mashabik PiaMe mwenyewe Mond namuona kwenye Ragga lkn kwa kuimba naona Coke linampeleka jina tu. Na wengine ni upenz tu ndo unawafanya wasione mapungufu ya Mondi pale studio. Nifatilia clip moja hapo Coke anaimba live, hamna kitu. Afanye Ragga na Muffin kubana pua awaachie akina Baraka Da Prince.
sure bro!Alipoimba Afrcan queen alizingua saana.. watu wakaanza kusema diamond live hawezi.
Kwenye hii alipania saana.