My Dear Ex Girlfriend

Kuachana ni mojawapo ya kanuni ya kimaisha, hakuna anayeaanza mahusiano mapya kwa kuburuzwa na kunyanyasika hivi vyote huja mbele ya safari, mbona hujatueleza kwamba ulimwacha ex wako kwasababu ulipata chombo kizuri zaidi?.
Ndivyo itakavyokuwa ukiamua kumwacha huyu wa sasa utapata mzuri zaidi yake, acha kulalamika, ficha uzembe wako kisha songa mbele, unaona unaburuzwa ni kwasababu ya udhaifu wako, umekuwa duni sana kimawazo, jitahidi ubadilike kichwani Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utavuna ulichopanda

god is good
 
Daa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu, nimekuelewa!
 
Why usimuombe msamaha muhusika kwa uliomfanyia, yeye ndo anatakiwa akusamehe sio sisi.
Karma it's neither forgive nor forget
 
She loved me, my mother and siblings.She knew my favourite food, colour, outfits and the team I love.
I dumped her, I regret it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…