Kama ile ya ban. Wanayotumia mods wa jamii forum.Hiyo Button inahitaji nguvu kiasi gani kuibonyeza..!?
Trump anaonyesha ni jinsi gani. Kim anampa wakati mgumu na kumnyima usingizi.Aiseeee Trump mshenz sana...Eti And My button works
Ooh,kumbe..!Kama ile ya ban. Wanayotumia mods wa jamii forum.
Wababe wenye nguvu sawa uwa HAWAPIGANI. uwa wanatishiana tu.Ooh,kumbe..!
Sasa si aibonye hiyo button..!?
Uko serious au labda sijakuelewa??!!Wababe wenye nguvu sawa uwa HAWAPIGANI. uwa wanatishiana tu.
Ndo hivyo.hauelewi nini hapoUko serious au labda sijakuelewa??!!
Mambo mengine ni ya ajabu kweli kweli
Kim anatapa tapa tu vikwazo vimembana mbavu hana pa kupumulia,wanajeshi wengi wanamkimbia njaa imezidi NK.Trump anaonyesha ni jinsi gani. Kim anampa wakati mgumu na kumnyima usingizi.
Unafikiri lini marekani ataipiga Korea kaskazini?Kim anatapa tapa tu vikwazo vimembana mbavu hana pa kupumulia,wanajeshi wengi wanamkimbia njaa imezidi NK.
Leo kuna taarifa kwamba sasa anataka mazungumzo na SK.
Mkuu me ntajuaje wakati sina cheo chochote ndani ya Pentagon.Unafikiri lini marekani ataipiga Korea kaskazini?