Fact ⚡Mkuu let me sicerely speak about this..........
Huu uzi wako ungebadilisha kutoka hiyo kitu yako uliotumia kuandika kwenda kiswahili aseee ungeona watu wanavyo porojoka hapa , na ukizingatia jukwaa la Mahusiano acha kabisaa tatizo lugha
then umetumia Britain English ile ya ndani hii ungepeleka kule International forum kwa Mabalozi na mawaziri kule huku daaa...
Fa
Fact ⚡
Mkuu sio sawa hii pia nashauri kupata full information kabla ya comment, huyu binti hakuwa kwenye maandamano, then kauawa bahati mbaya kweli? Mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbayakauuwa bahati mbaya, kwani polisi alikusudia?
Katika kupiga risasi angani kunahitaji balance/stamina ya mkono, sasa kama ukono ulikosa nguvu kidogo ndio hivyo bahati mbaya risasi ikampata dogo hapo.
Hakuna haja ya kulalama saaana zaidi ni pole kwa wafiwa wote.
Kama wananchi tujifunze kutokufanya mambo ambayo yamekatazwa, eti kisa unajua unawatetezi.... Dogo naye kaenda chuo kusoma anasahau mambo ya msingi na kuingia kwenye maandamano ya kisiasa huu nao ni ujinga...
Kila jambo na wakati wake.
Siasa ya Tz ishakuwa ya kupuuzi na wanaoishabikia wote wanaonekana wapuuzi pia bila kujali ni chama gani.Watu wanatekwa akili kisa tu mtu fulani apate ubunge huo ni UJINGA kama ujinga mwingine.
Huyo dogo kama asingeandamana akaishia kupiga kura tu kwani angepungukiwa nini? au ndio kufwata mkumbo.
Narudia tena, pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Kama hizi ni Akili zako bora Babako Angetumia Condom, Wasted sperm!kauuwa bahati mbaya, kwani polisi alikusudia?
Katika kupiga risasi angani kunahitaji balance/stamina ya mkono, sasa kama ukono ulikosa nguvu kidogo ndio hivyo bahati mbaya risasi ikampata dogo hapo.
Hakuna haja ya kulalama saaana zaidi ni pole kwa wafiwa wote.
Kama wananchi tujifunze kutokufanya mambo ambayo yamekatazwa, eti kisa unajua unawatetezi.... Dogo naye kaenda chuo kusoma anasahau mambo ya msingi na kuingia kwenye maandamano ya kisiasa huu nao ni ujinga...
Kila jambo na wakati wake.
Siasa ya Tz ishakuwa ya kupuuzi na wanaoishabikia wote wanaonekana wapuuzi pia bila kujali ni chama gani.Watu wanatekwa akili kisa tu mtu fulani apate ubunge huo ni UJINGA kama ujinga mwingine.
Huyo dogo kama asingeandamana akaishia kupiga kura tu kwani angepungukiwa nini? au ndio kufwata mkumbo.
Narudia tena, pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Unaona sasa namna vijana wa CCM wasivyo na akili.... Hajui hata tukio limetokeaje yeye ni kuandika ujinga..... This nation is doing nothing because of stupid people of this kind..... They dont know even to fight for their freedom... Rubbishkauuwa bahati mbaya, kwani polisi alikusudia?
Katika kupiga risasi angani kunahitaji balance/stamina ya mkono, sasa kama ukono ulikosa nguvu kidogo ndio hivyo bahati mbaya risasi ikampata dogo hapo.
Hakuna haja ya kulalama saaana zaidi ni pole kwa wafiwa wote.
Kama wananchi tujifunze kutokufanya mambo ambayo yamekatazwa, eti kisa unajua unawatetezi.... Dogo naye kaenda chuo kusoma anasahau mambo ya msingi na kuingia kwenye maandamano ya kisiasa huu nao ni ujinga...
Kila jambo na wakati wake.
Siasa ya Tz ishakuwa ya kupuuzi na wanaoishabikia wote wanaonekana wapuuzi pia bila kujali ni chama gani.Watu wanatekwa akili kisa tu mtu fulani apate ubunge huo ni UJINGA kama ujinga mwingine.
Huyo dogo kama asingeandamana akaishia kupiga kura tu kwani angepungukiwa nini? au ndio kufwata mkumbo.
Narudia tena, pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Unaliwa nini? Umeambiwa huyo binti alikuwa ana andamana au una ropoka tu halafu unasema ukipiga risasi juu mkono unakosa balance na wale walipigwa risasi miguuni je? kwa taarifa yko huyo dada hakuwa kwny maadamano alikuwa kwny daladala na kapigwa risasi ya kichwani embu niambia balance gani ina kosewa hadi mtu risasi ya kwnd juu inampata kichwani akiwa kwny daladalakauuwa bahati mbaya, kwani polisi alikusudia?
Katika kupiga risasi angani kunahitaji balance/stamina ya mkono, sasa kama ukono ulikosa nguvu kidogo ndio hivyo bahati mbaya risasi ikampata dogo hapo.
Hakuna haja ya kulalama saaana zaidi ni pole kwa wafiwa wote.
Kama wananchi tujifunze kutokufanya mambo ambayo yamekatazwa, eti kisa unajua unawatetezi.... Dogo naye kaenda chuo kusoma anasahau mambo ya msingi na kuingia kwenye maandamano ya kisiasa huu nao ni ujinga...
Kila jambo na wakati wake.
Siasa ya Tz ishakuwa ya kupuuzi na wanaoishabikia wote wanaonekana wapuuzi pia bila kujali ni chama gani.Watu wanatekwa akili kisa tu mtu fulani apate ubunge huo ni UJINGA kama ujinga mwingine.
Huyo dogo kama asingeandamana akaishia kupiga kura tu kwani angepungukiwa nini? au ndio kufwata mkumbo.
Narudia tena, pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
Mwanzo mwisho umeandika kinafiki nafiki, shortly you don't understand your role in promoting good governance. You try to idle yourself from the reality. Okey but tumekusoma .kauuwa bahati mbaya, kwani polisi alikusudia?
Katika kupiga risasi angani kunahitaji balance/stamina ya mkono, sasa kama ukono ulikosa nguvu kidogo ndio hivyo bahati mbaya risasi ikampata dogo hapo.
Hakuna haja ya kulalama saaana zaidi ni pole kwa wafiwa wote.
Kama wananchi tujifunze kutokufanya mambo ambayo yamekatazwa, eti kisa unajua unawatetezi.... Dogo naye kaenda chuo kusoma anasahau mambo ya msingi na kuingia kwenye maandamano ya kisiasa huu nao ni ujinga...
Kila jambo na wakati wake.
Siasa ya Tz ishakuwa ya kupuuzi na wanaoishabikia wote wanaonekana wapuuzi pia bila kujali ni chama gani.Watu wanatekwa akili kisa tu mtu fulani apate ubunge huo ni UJINGA kama ujinga mwingine.
Huyo dogo kama asingeandamana akaishia kupiga kura tu kwani angepungukiwa nini? au ndio kufwata mkumbo.
Narudia tena, pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
mkuu mbona unajifunga unapohoji kwam a mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya.... Je unataka kusema huyo dogo alikuwa mwanachama wa chadema? au anauhusiano gani na chadema? au alifikaje eneo la tukia mpaka kuuawa?Mkuu sio sawa hii pia nashauri kupata full information kabla ya comment, huyu binti hakuwa kwenye maandamano, then kauawa bahati mbaya kweli? Mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya
Kibinadamu sio sawa siasa au madaraka yanapeleka watu pabaya sijui watakufa navyo??? Au wataishi milele
Poleni wafiwa
mihemko kama kawaida yenuKama hizi ni Akili zako bora Babako Angetumia Condom, Wasted sperm!
Kiufupi marehemu hausiani na maandamano wala siasa za chama chochote ulikurupuka mwanzoni Sana na ile commentmkuu mbona unajifunga unapohoji kwam a mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya.... Je unataka kusema huyo dogo alikuwa mwanachama wa chadema? au anauhusiano gani na chadema? au alifikaje eneo la tukia mpaka kuuawa?
Je ukiona ukiona mwana CCM anakufa kwa kufyatuliwa risasi na polisi utafurahi? Je si ni wote watanzania? mtu kafa uchama wa nini hapa? ishu ni shughuli za kisiasa ndio vimeleta yote haya, polisi kwenda na bunduki pale hawajakosea maana wasingeenda na marungu
Kwel hili jamaa cjui kama kwel lilizaliwa au limetotolewa kama kuku...halina information linajimwaga tuu huku...ninhekuwa karibu nae ningemzaba kibao....shuaniKama hizi ni Akili zako bora Babako Angetumia Condom, Wasted sperm!
Sidhani kama unazo za kukutosha...eti naww unaona umetoa comment....toa uchafu wako apa.mkuu mbona unajifunga unapohoji kwam a mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya.... Je unataka kusema huyo dogo alikuwa mwanachama wa chadema? au anauhusiano gani na chadema? au alifikaje eneo la tukia mpaka kuuawa?