Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii;;WAZO LA PINDA;


Hivi huyu Mtoto wa Mkulima atasema nini pale hao jamaa zake watakapoanza kupigwa mawe mitaani na majukwaani...?
 
jamani mazee haka kazee hata sura yake huwa inamsuta huyu jamaa ni coward,wabunge hebu chukueni hatua hatumtaki huyu kayaanza kwani huwa anaanzisha kiu halafu analia,mitego huwa ana kauli tata,kapinda anaongea kama kachanganyikiwa,hey give me a break fedha zetu mchukue,mahakamni hamtaki kuplekwa kisa dola ni ya kwenu,haafu mnatupa option tuwazomee,u know what dude hatuwazomei ila tutatunisiana tu.tumechoka na maaneno yenu.:bump:
 
Heee! Hìi kali.
We utakayepiga kelele unaweza kuonekana chizi. sasa sijui chizi na mwizi bora yupi.
 
NI WAZIRI MKUU GANI ALIYEKUWA NA AFADHALI??

NYERERE 20/100

KAWAWA 1/100

SOKOINE 40/100

WARIOBA 30/100

SALIM 10/100

MSUYA 45/100

MALECHELA 20/100

SUMAYE 12/100

LOWASA 52/100

PINDA 2/100

SIJUI KAMA NIMEMSAHAU HATA MMOJA

nionavyo Lowasa alikuwa juu ya wote
 
Kwa hilo nakubaliana na Pinda mia kwa mia; kwani kichocheo kikubwa cha ufisadi ni kiu cha kutafuta utukufu, hivyo wale wote wanaoibia umma kwa lengo la kuwakogea wenzao kwa utajiri uliopatikana kwa njia zisizo halali, wakiambulia kuzomewa popote waedako watakoma. Kuna wakati yalimtokea rais Mkapa akaanza kukwepa kupita kwenye njia zenye vijiwe vingi.
 
Yaani alivyosema hivyo tu, ningekuwepo ningeanza hapo hapo kumzomea yeye (si ni mmoja wao Bana?) ili kujaribu nione kama kweli wezi wanaona aibu....
 
Alisema analijua genge la dowans kwa nini asianze yeye kuwapigia kelele?
 
Mwehu kweli huyu eti mtt wa mkulima...ccm scouting network ya viongozi kichomi kweli sijui wanawatoa wapi hawa.....ombwe kuanzia kata mpaka mwenye kaya.....duh.....
 
Uwezo wa kufikiri ukifikia kikomo ndo mwanzo wa kuongea pumba.....MUNGU ATUSAIDIE JAMANI TANZANIA TUPATE ANGALAU VIONGOZI WENYE UWEZO WA KUFIKIRI KAMA WA NYERERE (HAYATI)......

 

Hapo nakubaliana na wewe pamoja na madudu yake jamaa alikuwa anapiga kazi nno
 
serikali yetu bwana, utadhani inaongozwa na wendawazimu.... sasa hiii point huyu jamaa sijui alifikiria nini? Tz bado saana...nadhani ccm nzima hakuna mwenye akili timamu, wote ni vilaza..yani hata mtoto wa mkulima anaongea vepa? daaah
 
Hata mie nimejiuliza, saa ngapi watatusikia na mikelele yetu ya mwizi? Au siyo lazima wasikie?
 

Angeyasema hayo Sumbawanga, umati wote ungeanza kumpigia kelele za mwiziiiii yeye mwenyewe hapo hapo mkutanoni, kwa kuwa kule aliiba kura 100 za mgombea wa CHADEMA na kumlazimisha msimamizi wa uchaguzi amtangaze mshindi mwarabu wa CCM
 
kubali msikubali wanaJF Lowasa alikuwamtendaji mzuri serikalini ktk wizara zote alizowahi kuongoza na hata uwaziri mkuu alimfunika sana kikwete ktk utendaji,tatizo ndiohilo la ufisadi ilakiutendaji tumpe tano.ashe nai


huyu pinda kutwa kupindisha ukweli tu ili awatetee mafisadi..akili zake mbovu kama mkwere tu..viongozi waoga wanaokumbatia mafisadi na kuwatafutia namna ya kuwasafisha..na wao wakitaka tuwaone eti ni watu safi..ni mafisadi tu na wao..mara mia 8 ya lowassa..alionesha makucha yake kwenye kula pesa lkn amefanyakazi sana huyu baba..japo haimfanyi kuwa kiongozi mzuri wala hatumsamehi kwa hilo..
 

Angeyasema hayo Sumbawanga, umati wote ungeanza kumpigia kelele za mwiziiiii yeye mwenyewe hapo hapo mkutanoni, kwa kuwa kule aliiba kura 100 za mgombea wa CHADEMA na kumlazimisha msimamizi wa uchaguzi amtangaze mshindi mwarabu wa CCM

Oooooh mwarabu isingetosha kungemtaja kwa jina lake au kusema mgombea wa CCM?..................
 

Na aliwataja majina ya hao wanaopaswa kuzomewa?
 
Hapo alipofika sasa inabidi arudi shambani akamsaidie baba yake kulima mahindi na si kuongoza serikali!!!!:twitch:
 
KWANZA JINA LAKE UNALIONAJE???PINDA MTOTO WA MKULIMA,YAANI HAPO NDIO MWISHO WA KUFIKIRI KAFIKA MWISHO HAPO,SIJUI KATUMWA NA VASCO da GAMA

NAUNGA MKONO HOJA YA KUPELEKA HOJA BUNGENI AJIUZULU PINDA HAFAI BORA LOWASA ARUDI

Nadhani hakuwa na maana unayoitumia kumhukumu kuwa hafai, jaribu kuingia deep kupata tafsiri sahihi ya kauli ya mheshimiwa Waziri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…