Mwingiliano wa watu

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Habari wana Jf,
Naomba niende kwenye mada, Kutokana na muingiliano wa watu kuwa mkubwa duniani tunakoelekea races zitapungua (tabaka halisi la watu wa rangi fulani). Kupungua kwa makali ya tamaduni za kuoana wenyewe kwa wenyewe mfano watu weupe au weusi pekee kumeruhusu mchanganyiko huu kupunguza pure races. Kwasasa dunia tuna mchanganyiko wa watu ambao wazazi wao ni race tofauti sana na idadi inazidi kuongezeka...Idadi ya Chotara wa rangi imekuwa kubwa na watu bado wanaongeza muingiliano duniani kote....we una mtazamo gani kwenye hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…