Mwenyekiti wa taifa umoja wa vijana CCM aleta mpasuko Arusha leo

mtetezihabari

New Member
Jul 23, 2015
4
3
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm hapa nchini UVCCM Sadifa Juma Khamisi ameleta mpasuko mkubwa ndani ya CCM mkoa wa Arusha mara baada ya kuanza kushusha tuhuma kubwa kuzielekeza kwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM wilaya ya Arusha ndugu MUnishi Martin munishi .

Songombingo hilo ambalo limetajwa na duru la mtetezi wa Habari kuwa limeleta mpasuko na kupelekea mgomea wa ubunge kwa tiketi ya CCM bwana Philemone Mollel (MONABAN) kukosa matumaini ya kuweza kumngoa nguli mbunge aliye,aliza muada wake bwana Godbless lema , lilianza mara tuu pale baada ya mwenyekiti huyo wa taifa UVCCM kuhoji katika mkutano wake wa ndani aliouandaa katika ukumbi wa CCM mkoa uhalali wa mwenyekiti UVCCM wilaya kutohudhuria katika mkutano huo uliokutanisha makada mbalimbali.

"Huyu Munishi hayupo kunipokea mimi kama mwenyeji wake nasikia yuko ana wasapoti upande wa pili (LOWASA -Ukawa) natuma salamu kama huku anaona hakumfai aondoke aamie huko , haiwezekena nipokelewe na katibu'' iyo , Alitoa kauli hiyo Sadifa.

Mara baada ya kutoa kauli hiyo vijana wa kundi la MONABAN walizira mkutano huo na kutoka nje na kuanza kulamika kama ifutavyo.

"Haiwezekani wamsingizie munish wakati inajulikana wazi kuwa anajulikakna yeye ndiye anampigia kampeni kufa na kupona MOnaban huu ni unafki na hatukubali", walisisitiza.

Hali hiyo ilizua tafarani ambapo kada maarufu aliyetemwa katika timu ya Monaban ya kampeni alimaarufu jina la MUTTU alinza kufoka na kutaka kupigana ambapo mwenyekiti wa UVCCM alitoka katika mkutano na kuingia katika ofisi ya katibu mkuu wa CCM mkoa wa arusha na kuongea na viongozi huku akiwaacha rundo la waandishi nje.

Huku vuta na vurugu zikiendelea na kikao hicho kusimama na makada wakiwafukuza waandishi waliokuwa nje ya mkutano na waandishi hao kukaataa mara akatokea mwenyekiti Sadifa na kuingia ndani ya ukumbi mara ya pili na kueleza nini kamua kutoa tamko hilo na kuaga huku akikataa kuongea na wanahabari waliokuwepo.

Aliondoka na kwenda kujihifadhi katika Hoteli (jina Linahifadhiwa) huku akikataa kuongea na waandishi na akiongozana na mwandishi mmoja wa gazeti la chama mkoani Arusha LILI huku akiwaachia namba za simu wanahabari.

Huku akiondoka mpasuko mwingine ulianza mara baada ya Muttu kumtupia tuhuma kubwa Rashidi Shuberti, aliyekuwa kada mkubwa wa Chadema na kujiunga na Timu ya Monabani kuwa ni mamluki ndani ya CCM.

Duru za mtezi wa habari iliamua kufanya uchunguzi na kubaini kuwa Munishi alipigiwa simu na kutoa taariafa kuwa yupo katika kampeni za mbunge MONABAN na hali halisi ikiwa yeye anahitajika katika mkutano huo na pia MONABAN naye anahitajika kwa maana yeye pia ni kamanda wa vijana UVCCM mkoa wa Arusha hivyo kulikuwa hakuna ulazima wa kukaacha vikao hivyo kwa watu hao wawili .

Pia muttu aliamua kutaka kupigana na shuberti kwa kuwa mara baada ya shubert kuingia katika kambi ya monaban alinunuliwa gari na wao kina muttu kupigwa chini hivyo kuleta uhasama .

Hata hivyo wakati shubeti akihojiw bila kujijua alisema kuwa anajua kuwa wakina mutu waliagizwa wamshughulikie na atahakikisha wakina mutu wanamtambua na kumweleza kati ya viongozi wa wilaya ccm akiwemo feruzi ni nani kaagiza ashughulikiwe.
 
Jamani mpasuko upi tenaa mi sininasikia apa arusha hakuna kitu kinaitwa ccm. Sasa uwo mpasuku unamaana gani??
 

Piganeni hadi muuwane maana hakuna namna nyingine
 
Iivi apa arusha iyo ccm iko wapi? Au labda kwa kuwa umesema ni mkutano wao wa ndani basi poa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…