Mwenye Vifaa Hivi Tuwasiliane

mabuladaud

Member
Joined
Jun 19, 2019
Posts
15
Reaction score
7
Natafutasimu aina ya nokia 3310 3g,4g, nokia 8110 4g iliyotumika au hata kama ni mpya nna shida nayo sana, na kuhusu mahali ulipo haina shida ili mradi upo Tanzania nitakupata tuu. Na kma maduka ya simu ipo mahali unaweza ukanisaidia kunipa mawasiliano maana nmeangalia maduka ya Mbeya na Mwanza sijaipata na nipo Mbeya.

Pia kuna simu ya tecno L9 plus imeungua engine kwahiyo mwenye engine nzima sio mpya anitumie mawasiliano.
PC aina ya toshiba [model name:satellite pro L550-17u] imehalibika screen yake mweye pc kama hiyo tuwasiliane .
Assanteni


 
Hiyo laptop inunulie monitor ya 50,000/=, mouse na keyboard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…