kama nikuhusu intrvs washaanza kuita, mm wamenipigia cm leo . Naomba ambaye ameshafanyaga intv Access post ya cashier anijuze ni maswali gani huwa wanaulizaga na intrv zao zinakuagaje? Na je huwa wanarudishaga/kutoa hela ya accommodation kwa wa2 wanaotoka mikoani... Natanguliza shurani zangu wana jamvi