mwenye uelewa kuhusu CAS

Wakurogwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
216
Reaction score
39
Tangu jana nina mdogo wangu tunajaribu kujisajili kwa ajili ya kuomba chuo mfumo unagoma .Mwenye ufahamu kama kuna mabadiliko ya system ya TCU anifahamishe tafadhali
 
Anatumia qualification gani? Kama diploma system iko open but kwa form six tayari had result ziko nje, system iko off kitambo sana
 
Wadogo zetu siku hz wanasingiziwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]waliokosa first round wadogo zetu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu anawaona

Web toka jana mchana kwel haifunguki inawezekana wanataka kutoa selection kwa wale wa first round waone vyuo vyao ko kuwa na subira itafunguka
 
teh teh tehhhh
 
Siwaliaema mwisho tarehe 23/9/16 hawa watu vipi?
 
Yawezekana mtandao achen kuwavunja watu moyo kama walisema deadline tarehe 23 yawezekana ni mtandao tu na kua imefungwa
 
Mie nimetumia fresh tu. Labda shida ni Internet cheki nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…