MIE NAFANYA STAGE TWO najisomea mwenyewe nimenunua past paper za P2 na sysllabus pale PSPTB...Wakuu na level 2 pia!
HELLOW GUYS, naomba yeyote mwenye soft copies za aina yoyote ya study material au vitabu kwa level 4 (psptb), ambazo ni strategic proc, international proc, contract management na strat supply chain mangmnt, if u can share with me ntumie kwa email hii (iconkb10@gmail.com)
MIE NAFANYA STAGE TWO najisomea mwenyewe nimenunua past paper za P2 na sysllabus pale PSPTB...
na material mengine ni reference ambazo ziko kwenye sysllabus najaribu kudownload kwenye internet..
hesabu nimefanya toka primary mpaka mwaka wanne chuo so sio taabu sana kwangu mie ndio naona mcekea kuliko hizo kozi nyingine...kwel mkuu,ngoja nipambane ila Maths inahtaj nots aisee,
wiki ya pili au ya tatu may . kwa uzoefu kwa maelezo tembelea PSPTBmie nafanya P.1 . mtihani ni tarehe ngapi??
chek inbox ov ya e mailkama hujapata ni-email kwenye dmagoti09@gmail.com ili nikufordie....plz do it ntafanya hvyo....nataka kuwa na uhakika wa email yako.....
Tafuteni kozi nyingine msome mjiajiri achaneni ya hizi kozi mtahangaika sana kupata kazi wandugu ,ushauri wa bure lkn kama hutaki jaribu utajionea
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
hesabu nimefanya toka primary mpaka mwaka wanne chuo so sio taabu sana kwangu mie ndio naona mcekea kuliko hizo kozi nyingine...
Hi guys,HELLOW GUYS, naomba yeyote mwenye soft copies za aina yoyote ya study material au vitabu kwa level 4 (psptb), ambazo ni strategic proc, international proc, contract management na strat supply chain mangmnt, if u can share with me ntumie kwa email hii (iconkb10@gmail.com)