Ladies ladies ladies!!!..jaslaws nshakua mtu mzima mie sasa naitaji WIFE wa kuishi nami, kuzaa ma kulea wototo nami kwenye shida na raha avumilie nami, asinifanyie kama...............akasababisha njaribu kujiua anipe mapenz na mi nmpe mapenzi nae ayaenzi asinifanyie ushenzi...ntafurahi nkimpta kiuno ajue kukata mpka mi ni date na sitamwachaa..!niko serious wana wa mmu n ts my first tym being here despite of all the yrs in jf.