Usirudishe miaka nyuma huo ulimwengu tushatoka. Shtuka Kama unaona hvo vikazi ndo vinavyomfanya mfanya kuoa au ndo mwanamke anavitaka hapo umefeli mwanaume hataki kupikiwa Wala kufuliwa staili nyingi za tendo la ndoa Kama mnacheza picha za ngono unawezq ukawanavyo vyooote hvyo Ila kichwa kikiwa box ushafeli utaumiza mwili wako na sehemu zako za uzaziKumpa mwanaume huduma zote za mke ikiwemo kumfulia, kumpikia,tendo la ndoa nk wakati hajakulipia mahari ni kuchafua nyota yako. Huo ndio ukweli japo mchungu
Mwanaume lazima umnyime haki za ndoa ili umuoneshe umuhimu wa yeye kukamilisha taratibu zote akuchukue kwenu na kukutumia kihalali, wanawake msikubali kuwa bidhaa cheap
Tabia yenu hii ya kujirahisisha ndio inayowapa kiburi vijana wengi kutokuoa na kuwachezea sana
Na ndio maana hata waoaji wamepungua kwakuwa huduma inapatikana kwa urahisi kabisa maadili yameharibika mno
Unakuta kamdada hakajaolewa ila kanafanya tendo la ndoa kila siku, kanaenda kanafua, kanadek, kanapika kanapigwa show kanapewa nauli ya boda na afutatuš¤
Acheni uasherati vijana
Shwain
Sawa zama zimebadilika, je lakin wanachokifanya ni sahihi?Usirudishe miaka nyuma huo ulimwengu tushatoka. Shtuka Kama unaona hvo vikazi ndo vinavyomfanya mfanya kuoa au ndo mwanamke anavitaka hapo umefeli mwanaume hataki kupikiwa Wala kufuliwa staili nyingi za tendo la ndoa Kama mnacheza picha za ngono unawezq ukawanavyo vyooote hvyo Ila kichwa kikiwa box ushafeli utaumiza mwili wako na sehemu zako za uzazi
Ukitaka usahihi hata tukija kwenye swala la uchumba halipo yaan nwanaumei anatakiwa aonane na mzee wako moja kwa moja ndo aje kwako sasa bhas baada ya miaka KWENDA na Karne kubadilika kuolewa imekuwa guess kwa mwanamke na imegeuka si kipaumbele Cha mwanaume ikumbukwe hivi hyo miaka ya kipaumbele Cha mwanaume kuoa ulikuwa akishafika miaka ishirini ujue mwanaume kakosa sana ana mtoto mmoja au wawili tofauti na hivi sasa mwanaume anafika miaka 35 hakumbuki neno kuoaSawa zama zimebadilika, je lakin wanachokifanya ni sahihi?
Twende sawa kwanza mim siyo mwanamke broh, but naumia kuona dada zangu wanakuwa cheap kwa ujinga waoUkitaka usahihi hata tukija kwenye swala la uchumba halipo yaan nwanaumei anatakiwa aonane na mzee wako moja kwa moja ndo aje kwako sasa bhas baada ya miaka KWENDA na Karne kubadilika kuolewa imekuwa guess kwa mwanamke na imegeuka si kipaumbele Cha mwanaume ikumbukwe hivi hyo miaka ya kipaumbele Cha mwanaume kuoa ulikuwa akishafika miaka ishirini ujue mwanaume kakosa sana ana mtoto mmoja au wawili tofauti na hivi sasa mwanaume anafika miaka 35 hakumbuki neno kuoa
Kama nilivokwambia Kama kuolewa NI fursa ukaja msemo nyie kwa nyie wanawake mkatiana maneno mkaja na usemi unaosema fursa usisubiri ikufate jaribu kutengeza fursa ndo upate unachotaka (kamatia fursa) ndo hichi kinachofanywa na madada wengi wa mjini wenzako wapo wanaomfanyia kila kitu mwanaume zaudi ya mke mwisho wa siku anaolewa wenye bahati zao na yule anayekosa vigezo vya kuwa zaidi ya mke anaendelea kutafuta sehemu nyngne NI hayo tu
Pole Sana mkuu Ila ile sio cheap NI asili yao na nadhani washafikia umri was kuolewa na pengine umri unakaribia kumtupa mkono namaanisha soon ataitwa (mshangazi) na vijana wakoleTwende sawa kwanza mim siyo mwanamke broh, but naumia kuona dada zangu wanakuwa cheap kwa ujinga wao