X Xerophytic B Member Joined Oct 24, 2016 Posts 10 Reaction score 1 Nov 8, 2016 #1 Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa diploma tuliochaguliwa kujiunga na shahada ya kwanza katika fani za kipaumbele. Naomba kuwaulizeni hivi mikopo watu wa diploma haituhusu kwa mwaka huu
Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa diploma tuliochaguliwa kujiunga na shahada ya kwanza katika fani za kipaumbele. Naomba kuwaulizeni hivi mikopo watu wa diploma haituhusu kwa mwaka huu
I ihssan Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11 Reaction score 1 Nov 8, 2016 #2 Mmmmmm mimi sijui ila kama wewe ni mTz unahusika . Uliomba mkopo lakini??
X Xerophytic B Member Joined Oct 24, 2016 Posts 10 Reaction score 1 Nov 8, 2016 Thread starter #3 ihssan said: Mmmmmm mimi sijui ila kama wewe ni mTz unahusika . Uliomba mkopo lakini?? Click to expand... Yaa niliomba
ihssan said: Mmmmmm mimi sijui ila kama wewe ni mTz unahusika . Uliomba mkopo lakini?? Click to expand... Yaa niliomba
I ihssan Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11 Reaction score 1 Nov 8, 2016 #4 Kuwa na subira kwani bado burch nyingine zinatoka na kutembelea loans board ingesaidia ili kupata majibu yaliyo kamili
Kuwa na subira kwani bado burch nyingine zinatoka na kutembelea loans board ingesaidia ili kupata majibu yaliyo kamili
ngome JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 235 Reaction score 98 Nov 8, 2016 #5 Mmmmmmmh utasubiri sana
X Xerophytic B Member Joined Oct 24, 2016 Posts 10 Reaction score 1 Nov 8, 2016 Thread starter #6 ngome said: Mmmmmmmh utasubiri sana Click to expand... Poa mkuu