Mwenye kujua nini kinaulizwa kwenye usaili wa mchujo na jamaa wa tume ya ajira

BabaH

Senior Member
Jan 25, 2008
103
8
Ndugu zangu, nimesota sana, sasa nimeitwa na jamaa wa ajira kwa ajiri interview, sala zenu muhimu sana
 
Wanauliza maswal kulingana na profeshen yako so piga msuli aisee hakuna blahblah tafuta madesa yote ujikumbushe ulojifunza college
 
soma sana vitini vyote ulivyokua navyo chuo jamaa wanauliza mule mule
 
kwa hawa jamaa lazima uwe umepitia madesa,wako kushule zaidi,ilakikubwa ni kumuomba mungu akutangulie,usihofu kama nafasi yako utapata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…