Je nini kifanyike ?Bi Mkubwa hana mwelekeo wowote kwa sasa. Msiseme sijawaambieni, sawa!???
Sisi wenzenu mapema tushajua la kufanya. I hope wewe una akili timamu, sawa!??? Kama hujui la kufanya, basi endelea kuvumilia maumivu huenda yakaisha sooooooooooooooooooooooooooon!!! 🙂Je nini kifanyike ?
Naamini serikali imeishaweka kipaumbele chake kwa Sasa ...kuwa ni kujenga uchumi .Sisi wenzenu mapema tushajua la kufanya. I hope wewe una akili timamu, sawa!??? Kama hujui la kufanya, basi endelea kuvumilia maumivu huenda yakaisha sooooooooooooooooooooooooooon!!! 🙂
Mama yupo vizuri sana tu ila nafikiri waliopo chini yake siyo wazuri wengi yaani hawana uzalendo, fikiria kama Mbunge wenye mshahara wa zaidi ya ML 7 hachangii kodi,anaye changia kodi ni mtu wa chini kabisa ambaye hata mlo mmoja kwa siku ni shida ndiye anaye kamuliwa zaidi na wanao panga yote hayo ni wabunge na mawaziri husika.Naomba tujadili kidogo kuhusu swala la mwelekeo wa serikali yetu kwa Sasa juu ya kushughulika na kero za wananchi.....je ni kweli serikali ya chama Cha mapinduzi wameshindwa kuongoza nchi ? Je chadema wanasera nzuri zitazoweza kutuvusha na kusafisha pale CCM waliposhindwa? Tuanze na maswali hayo mawili ndio yanaweza kutufanyq tukajenga hoja nzuri
Mkuu wewe unaonaje? Mwenye macho haambiwi "tazama".Naomba tujadili kidogo kuhusu swala la mwelekeo wa serikali yetu kwa Sasa juu ya kushughulika na kero za wananchi.....je ni kweli serikali ya chama Cha mapinduzi wameshindwa kuongoza nchi ? Je chadema wanasera nzuri zitazoweza kutuvusha na kusafisha pale CCM waliposhindwa? Tuanze na maswali hayo mawili ndio yanaweza kutufanyq tukajenga hoja nzuri