Mwe jamani jf sijapata kusikia

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
382
Reaction score
121
Hahahahhahaha haloooooooooo kama naongea na sim vile.........mm ndio mfalme simba toka mbuga zilizo barikiwa mitaaa ya daresalaaaam nakula nyny vingunguti nalala tabata........siasa hapa ndio kwao longlongo longo mmbunge mtarajiwa wa jimbo la segerea nishapita nasubiri tarehe ya uchaguzi tuuu mwaka 2015 tuuuu panapo uhai
 

Mbona mikwara mkuu.
 
Asanteni wana jf nashukuru sema waambieni kabisa wapinzani wa chama cha masela kuwa hakunaga kama chama cha masela hivyo wajipange sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…