Luteni mtafutaji
New Member
- Feb 25, 2019
- 3
- 1
Ujenz1. Nenda Buswelu
2.Mjini kati ... moja karibu na hotel Kembice na Capripoint...tembelea line ya hizi block X karibu na ziwani..panda juu ya ofisi za idara ya maji kama unaelekea mtaa wa relini...then nenda Bwiru pembeni ya green palm hotel na barabara ya breweries ukitokea kona ya Bwiru kunja kulia kwenye intersection ya kwanza.
3 . Tembelea maeneo ya malimbe na Nyakato ilipo campus mpya ya CBE
4.
5.
6.Buswelu NSSF
7. Tembelea Nyamhongolo
8.
Unataka kufanya nini mkuu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni fundi mzuri tafuta mtu akuunganishe na huyu Boss wa Nyakato steel kwake hizo kazi hazinaga kikomo ila hataki makanjanja utafukuzwa on the spot ukizinguaUjenz
Kazi hakuna mkuu kukaa mtaani tu pasipo kazi yoyote haifai bora kutafuta hata vibarua vya ujenzi tu.
Nyakato Steel kuna yule Muhindi anaitwa Ummah alinizungusha sana nilikuwa namtafutia mdogo wangu.Kama ni fundi mzuri tafuta mtu akuunganishe na huyu Boss wa Nyakato steel kwake hizo kazi hazinaga kikomo ila hataki makanjanja utafukuzwa on the spot ukizingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu ngoja nifanye mpango.Kama ni fundi mzuri tafuta mtu akuunganishe na huyu Boss wa Nyakato steel kwake hizo kazi hazinaga kikomo ila hataki makanjanja utafukuzwa on the spot ukizingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mtu mmoja hapo anaitwa Manyama anaweza kukusaidiaNyakato Steel kuna yule Muhindi anaitwa Ummah alinizungusha sana nilikuwa namtafutia mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kuna barabara inajengwa ikitokea Nyakato Machinjioni inapita hadi Mahina, Kanyerere inatokea Mkuyuni..Kwa wenyeji wa ILEMELA au NYAMAGANA ni sehemu gani ambapo kuna ujenzi unaendelea wa
-Barabara ya Rami/Mawe
-Ghorofa
-Godown
-Hostel
-Mifereji ya Maji
-Guest house
-Project ya Ujenzi wa nyumba
-Kiwanda
-Hotel
Ama ujenzi wa aina Yoyote ule unaoendelea nikacheki kazi.
Wakuu maoni yenu yanahitajika sana christian mtexas, Slowly, laizerg, Numbisa, GTA, vvm, @Bams,Mama Sabrina , Ngokongosha, @IHOLOMELA,LENDEYSON
Kwa wenyeji wa ILEMELA au NYAMAGANA ni sehemu gani ambapo kuna ujenzi unaendelea wa
-Barabara ya Rami/Mawe
-Ghorofa
-Godown
-Hostel
-Mifereji ya Maji
-Guest house
-Project ya Ujenzi wa nyumba
-Kiwanda
-Hotel
Ama ujenzi wa aina Yoyote ule unaoendelea nikacheki kazi.
Wakuu maoni yenu yanahitajika sana christian mtexas, Slowly, laizerg, Numbisa, GTA, vvm, @Bams,Mama Sabrina , Ngokongosha, @IHOLOMELA,LENDEYSON
Mkuu vvm na SaaMbovu nyakato steel pale kwenye upande wa production siwezi kupata nafasi kweli au napo ni shida kupata.Kama ni fundi mzuri tafuta mtu akuunganishe na huyu Boss wa Nyakato steel kwake hizo kazi hazinaga kikomo ila hataki makanjanja utafukuzwa on the spot ukizingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu SaaMbovu hii kampuni ya JR ya maji ipo sehemu gani Ilemela au nishukie kituo gani na uelekeo ni upi baada ya kushuka kwenye kituo.1. Kuna barabara inajengwa ikitokea Nyakato Machinjioni inapita hadi Mahina, Kanyerere inatokea Mkuyuni..
2. Barabara ya kutoka Nyegezi Stand hadi Nyamazobe.
3. Barabara ya Umoja kupandisha Kanisa Bugando hadi Aga Khan.
4. Kuna kampuni ya JR ipo Ilemela ina deal na miradi ya maji pamoja na sewage systems.
Sent using Jamii Forums mobile app
77 pale opp na zamzam car show roomMkuu SaaMbovu hii kampuni ya JR ya maji ipo sehemu gani Ilemela au nishukie kituo gani na uelekeo ni upi baada ya kushuka kwenye kituo.