Mwanaume hudharaulika hivi

Basi nitakutafuta tujenge urafiki. Napenda mtu hasiyeunga mkono hayo mmbo ya ovyo

mimi naunga mkono juhudi za mheshimiwa sana Lais..mengine sitak..naona unataka kunitoa kwenye suala la mafao ya wastaafu.. hujui nami "mwasilika"
 
kazi kweli kwanini usinge peleka kwenye jukwaani la chitchat
 
hivi kuna kudharauliana kwenye kufanyiana mambo ya faragha?? huko ni kujishtukia,
 
Kama hujawahi kupiga deki kwa ulimi, hujafanikiwa kumiliki kitu. Ukiona kinyaa mtu wako jua hatamaniki. Mfanyie shopping ya maana, kama umechagua kifaa mbona hiyo normal? Kama anafanana na jalala hapo hujakosea, lkn kama unamjali walahi hutajuta kupiga deki, msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
mimi naunga mkono juhudi za mheshimiwa sana Lais..mengine sitak..naona unataka kunitoa kwenye suala la mafao ya wastaafu.. hujui nami "mwasilika"
Rudi shule ukasome utofauti wa matumizi ya araa na eloo , hivi huko shule mnakwenda kusomea ujinga?
 
Rudi shule ukasome utofauti wa matumizi ya araa na eloo , hivi huko shule mnakwenda kusomea ujinga?


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu nifuatilie ht 5 comments kwa kila nilipocomment uone km na mm nilikimbia umande..ukiisoma hyo comment ni utani tupu.. mm hunikuti nachabanga mambo hivyo aisee never!..najitambua kuliko unavyohisi wewe...!toka lini mtu akawa mwasirika..mara lais..khaa
 
Rudi shule ukasome utofauti wa matumizi ya araa na eloo , hivi huko shule mnakwenda kusomea ujinga?


πŸ˜‚πŸ˜‚nakuona unafuatilia kweli kweli..niliona uvv kuweka" "kwenye neno lais..mbn kwa mwasilika niliweka?jiongeze..ukikuta nimebugi bas nimeweka " "na ninafanya kusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…