Aisee tisha sana hii,wengi wanakubali kimyakimya....dizaini kama kuponda sina flani ya mziki...ila ukipigwa unatikisa kichwa ivi huku ukinata na biti!!
Kimsingi Raia wa Tanzania hawana hulka za kufanya vurugu. Vurugu mara nyingi zimekuwa zikisababishwa na Polisi wenyewe kutaka kutumia nguvu hata pasipohitaji nguvu.