Tanzania ya Leo mipango yooote ya misaada na mikopo ya kimaendeleo imeelekezwa kwa WANAWAKE NA VIJANA!
Hivi ni kweli hapa Tanzania wanaume wazee wote ni MATAJIRI?
sijazungumzia mawaziri, wabunge 'huko nako wakike wapo!
Hapa inazungumzwa wakiume wa kawaida,wakulima,walimu,wafugaji nk . Baada ya kufikia umri wa miaka 35 hawastahili misaada ya kiuchumi?