Kuna Kazi kama ya bar mazingira yanapelekea kuwa sio ya heshimaTaja kazi ambazo sio za heshima
Unaweza pata mwalimu lakini malaya au
Ukapata muuza vileo lakin anajiheshimu
Choose wisely
Heshima haileti na kazi inaletwa na mtu mwenyeweKuna Kazi kama ya bar mazingira yanapelekea kuwa sio ya heshima
ExactlyHeshima haileti na kazi inaletwa na mtu mwenyewe
Na pia si unaweza kumuachisha ukamtafutia nyingine?
Sawa mkuuHeshima haileti na kazi inaletwa na mtu mwenyewe
Na pia si unaweza kumuachisha ukamtafutia nyingine?
Umenena vyema mkuuHili tangazo angeleta mwanamke pangechimbika bila jembe ....haya kila la kheri
Wapo wenye umri huu na wanajielewa vizuri mkuuSasa mkuu below 28 si ndio ujana umekolea hapo? Ukitaka walioacha mambo ya ujana labda uchukue wa above 39 huko
Asante mkuuJambo jema kila la kheri mkuu
Nililazimika tu kufanya hivyoKwann una ID 2?
Okei... Kigezo cha umri kimenikosesha sifa lol...niko above....Nawakumbusha tu sijabadili mawazo
mmmmmhh ivo vigezooo ........Mimi sio mgeni huku na nakiri kuwa hii ni ID yangu ya pili.
Umri na wakati wa kuoa umefika na naomba kutumia jukwaa hili kutafuta mwenza ikiwezekana mapema mwakani tufunge ndoa.
Sifa zangu ni kama ifuatavyo.
1. Me
2. 34 years
3. Maji ya kunde
4. Lutheran
5. Mfanyabiashara na mtafiti wa masoko.
6. Natumia kilevi
7. Nina mtoto mmoja
8. Chagga
Mwanamke ninaemtaka awe na sifa zifuatazo.
1. 28 years and below that.
2. Mweupe/Maji ya kunde
3. Asiwe mnene
4. Lutheran
5. Awe anatoka mkoa wowote wa hl Kaskazini.
6. Kazi yake sio muhimu sana lakini iwe ya heshima.
7. Awe na mapenzi kwa mtoto Wangu (Muhimu sana)
8. Awe ameshamaliza maisha ya ujana na yupo tayari kuishi kwenye ndoa.
Nawakaribisha wale ambao mpo serious. Sitaki tupotezeane muda kwenye swala hili.
Asanteni
mmmmmhh ivo vigezooo ........