Mwanamke kuhamiaa Geto

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Katikaa maisha ya Ujana kuna harakatii nyingi sanaa so kuna Kipindi unaanza kujitegemea labda Kama upo chuo au Unaanza maisha kwa Kuishi Getoo...!! Huwa kuna ishu ya Manzi kutaka kuamia GETOO kuishi na wewe pamojaa wengine hataa kukubebea Ujauzitooo... Aisee hii ni changamotoo ukicheki hali halisii ya maishaa Tupeanee Uzoefuu Lifanyajeee pale demu wako alipotakaa Kuamiaa geto muishi wotee!????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nilimkubalia akahamia ila baba na mama yangu walidokezwa mapema sana mipango ya posa na harusi ikafanyika kabla hajapata ujauzito na ndio mke nilienae hadi Leo. Kama ni mwanamke ambae huna mpango Wa kuwa mke usikubali kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wA kwangu alihamia tena kipindi kigumu nilikua nmesimamishwa kazi ndo mke mpaka leo naitwa baba d alinisaidia kwa mengi maana mpaka keo ningekua nafanya ngono zembe maana kila j pili nilikua na demu mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…