Daah... Kua uyaone kumbe wa design yako siku hizi mkila ile "hamira" mnakua wanene?
Lakini all in all heko you got guts na ni wazo zuri sana kuja jukwaani hapa na kujitangaza na kumtafuta wa aina yako ili usiondoke na kichwa cha mtu
Aminia..no stigmatism,no further mdudu infection
An HIV free generation it begins with you...!!

Mkuu mwenye 40 atakufaa?? Yupo namfahamu yupo fresh ila ana mtoto 1.
Mkuu nipo kama nilivyo, am still healthy monitoring my cd4. Sijaanza kutumia hizo unaita we hamira. Mwanamke yeyote akiniona na haya ninayoyasema hawezi kukubali. I decided not to infect others coz its painful as i felt at first point.
All the best.
Nimependa ulivyo muwazi
Poolee..kila ls her
Wale wa mama salma unawapata?
Hamira??!si neno zuri,hujaumbika bado weweDaah... Kua uyaone kumbe wa design yako siku hizi mkila ile "hamira" mnakua wanene?
Lakini all in all heko you got guts na ni wazo zuri sana kuja jukwaani hapa na kujitangaza na kumtafuta wa aina yako ili usiondoke na kichwa cha mtu
Aminia..no stigmatism,no further mdudu infection
An HIV free generation it begins with you...!!
mkuu hongera sana kwa kua muwazi, jamii inahitaji watu kama nyie wenye kusimama katika kweli..nina hakika utafanikiwa kupata mwenzi wa aina yako