Kilalaheri ndugu..wewe mbali na kuwa mwanaume na kuwa na miaka 33 huna sifa ya ziada?
Kwahiyo sisi jobless tusisogee ?
Elimu inayojitosheleza ni IPI? Nimeishia std 4 na mi naona inanitosheleza hiyoKama una elimu inayojitosheleza karibu hapo tutasaidiana kwenye ujasiriamali
Unataka elimu kumbe, wakati wengine tunatafuta wenye akili.Kama una elimu inayojitosheleza karibu hapo tutasaidiana kwenye ujasiriamali
Elimu inayojitosheleza ni IPI? Nimeishia std 4 na mi naona inanitosheleza hiyo
Unataka elimu kumbe, wakati wengine tunatafuta wenye akili.